technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Tanzania hakuna vyama vya upinzania vyote ni ma agent wa CCM
Sema ndani ya upinzani Kuna baadhi ya watu makini ambao ningekuwa na uwezo ningevifuta vyama vyote vya upinzani na kuanzisha chama kimoja Cha kupambana na CCM.
Sio chadema sio act wazalendo sio cuf vyote vimejaaa majasusi wanaofanya kazi ya ccm kwa wengine kujua Kama ilivyo kwa Mbowe na Zitto na wengine kwa kutokujua
Ndio maana wengine wakigundua wanakimbilia CCM Kama ilivyo kwa kafulila na wenzie wote!!!
Hii nchi unaweza kutumikishwa bila kujua Kama unatumikiswa
Mpinzani pekee aliyebaki nchii hii ambaye ameisaliti system na kuamua kusimama na Watanzania ni Lissu tu!!
Vyama vyote ni matawi ya ccm huu ni ukweli mchungu ukitaka kujua hicho angalia ugumu wa kubadili mwenyekiti wa chama !!!
Siasa ya Tanzania ni ngumu kuliko siasa ya nchi yeyote duniani!!!