Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kama mimi ningekuwa katika nafasi hiyo ya kuongoza taifa.
Kitu pekee namba moja ningewaomba wachina katika ziara yangu mimi na jopo langu basi si kingine zaidi ya washauri wa masuala ya uchumi, elimu na teknolojia.
Ningepambana mimi na jopo langu jinsi tuwezavyo serikali ya China itupatie washauri katika maeneo hayo kwa ngazi zote kijiji mpaka taifani.
Baada ya hapo ni kusaini makubaliano ya mabadilishano ya mafunzo ya uongozi kati ya nchi yangu na China, mabadilishano ya wataalam katika maeneo mbali mbali.
Tungepambana kweli kweli China wasitunyime haya kwa namna tuwezavyo.
Soma Pia: Rais Samia azungumza na Rais wa China, asisitiza Mpango wa Kuendeleza Miundombinu na Kukuza Uwekezaji