Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Dua ya mwewe na ndo maana haupo Kenya.Kusema ukweli wa Afrika ni watu wa ajabu tuna thamini pesa kuliko utu madaktari wa kenya wamemaliza mgomo baada ya siku mia wamepelekea vifo vya watu wasio kuwa na hatia kama mimi ningekuwa Rais wa Kenya basi ningefuta kabisa ufadhili wa masomo kwa ajili ya vijana wanao somea udaktari hili wajisomeshe wenyewe
NailedHata Baba Jesika anatamani kuwa Inspector General of Police(IGP) akisahau ya kwamba yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na ndiye anamteua IGP! MADAKTARI wa Kenya sio wanafiki na hawaombi fedha kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka huko Tanzania. Haki huwa haiombwi bali ikibidi inadaiwa kwa nguvu. Ndio maana waligoma kwa siku 100 na hawakulipwa mishahara. Watanzania ni wanafiki Mara 100. Walimu waligoma wakatishiwa wakakalia mkia na kuufyata matokeo yake wako kwenye mgomo baridi wa kujifanya kufundisha wakati hawafundishi, kwa wale wanaojua hesabu "the quality of education is directly proportional to the teachers take home" kwa wale wa elimu ya UPE: ni kwamba ubora wa elimu una uhusiano wa moja kwa moja na mshahara wa mwalimu. Wanaendelea kujifanya wanafundisha ila hawaoni haya matokeo mabaya. Madktari wa Tanzania waligoma je mnamkumbuka Dr. Ulimboka sijui aliishia wapi alibondwa Mwabepande wee na Baba Mwanaisha akasema hataweza kuwalipa na hata thumni hakuwaongezea hadi leo hii wanajifanya kutibu watu wakiwa na vifaa duni na mishahara duni ila wamekuwa wauaji badala ya kutoa huduma ya utabibu. Big up to Kenyan Doctors hawa wabongo waende Kenya wakajifunze. Kama kusoma hawajui hata picha kwenye CITIZEN TV hawawezi kuangalia. Mgomo wa Kenya umewapatia wengi elimu hapa Afrika Mashariki if not kwa Africa nzima. Tuendelee kushangilia mabadiliko ya katiba ya CCM ambayo yamefanywa kinyume cha katiba ya CCM tena under duress! Kumbe hiyo ndio kusoma namba in its full capacity? CCM juuu! Juu zaidi!
And well penetrated.Nailed
Hata Baba Jesika anatamani kuwa Inspector General of Police(IGP) akisahau ya kwamba yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na ndiye anamteua IGP! MADAKTARI wa Kenya sio wanafiki na hawaombi fedha kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka huko Tanzania. Haki huwa haiombwi bali ikibidi inadaiwa kwa nguvu. Ndio maana waligoma kwa siku 100 na hawakulipwa mishahara. Watanzania ni wanafiki Mara 100. Walimu waligoma wakatishiwa wakakalia mkia na kuufyata matokeo yake wako kwenye mgomo baridi wa kujifanya kufundisha wakati hawafundishi, kwa wale wanaojua hesabu "the quality of education is directly proportional to the teachers take home" kwa wale wa elimu ya UPE: ni kwamba ubora wa elimu una uhusiano wa moja kwa moja na mshahara wa mwalimu. Wanaendelea kujifanya wanafundisha ila hawaoni haya matokeo mabaya. Madktari wa Tanzania waligoma je mnamkumbuka Dr. Ulimboka sijui aliishia wapi alibondwa Mwabepande wee na Baba Mwanaisha akasema hataweza kuwalipa na hata thumni hakuwaongezea hadi leo hii wanajifanya kutibu watu wakiwa na vifaa duni na mishahara duni ila wamekuwa wauaji badala ya kutoa huduma ya utabibu. Big up to Kenyan Doctors hawa wabongo waende Kenya wakajifunze. Kama kusoma hawajui hata picha kwenye CITIZEN TV hawawezi kuangalia. Mgomo wa Kenya umewapatia wengi elimu hapa Afrika Mashariki if not kwa Africa nzima. Tuendelee kushangilia mabadiliko ya katiba ya CCM ambayo yamefanywa kinyume cha katiba ya CCM tena under duress! Kumbe hiyo ndio kusoma namba in its full capacity? CCM juuu! Juu zaidi!
Mgomo ulikuwa wa Februari 2017. Madaktari wa Kenya 'walikaa ngumu' kama wanavopenda kusema. Ila tunaomba yasije yakajirudia tena. MK254, rais wa Kenya, tangia tupate katiba mpya, hana cha ziada anachoweza kufanya kando tu na kuwatishia waliogoma. Labda akiweza kutumia ile Kamati ya Afya bungeni. Hapo sasa ndo sitilesi huwa zinazidi. Ingekuwa ni wewe jombaa, hahaha 😀. Uvumilivu na hekima kama ya spika wa zamani wa bunge, Kenneth Marende ndio vinahitajika tu.
madaktari hawa si wazuri hata kidogo, ameongea vizuri sana maana madaktari kama hawa ambao hawana busara hata kidogo, wanajali matumbo tu, wanatetea daktari mharibifu halafu wanasahau wanauwa wangapi nyang'au hawa.Bahati mbaya au nzuri ndio maana hukuwa raisi wa Kenya. Urais siyo ubabe ni busara na hekima
Hata Baba Jesika anatamani kuwa Inspector General of Police(IGP) akisahau ya kwamba yeye ndiye Amiri Jeshi Mkuu na ndiye anamteua IGP! MADAKTARI wa Kenya sio wanafiki na hawaombi fedha kwa wagonjwa kama ilivyozoeleka huko Tanzania. Haki huwa haiombwi bali ikibidi inadaiwa kwa nguvu. Ndio maana waligoma kwa siku 100 na hawakulipwa mishahara. Watanzania ni wanafiki Mara 100. Walimu waligoma wakatishiwa wakakalia mkia na kuufyata matokeo yake wako kwenye mgomo baridi wa kujifanya kufundisha wakati hawafundishi, kwa wale wanaojua hesabu "the quality of education is directly proportional to the teachers take home" kwa wale wa elimu ya UPE: ni kwamba ubora wa elimu una uhusiano wa moja kwa moja na mshahara wa mwalimu. Wanaendelea kujifanya wanafundisha ila hawaoni haya matokeo mabaya. Madktari wa Tanzania waligoma je mnamkumbuka Dr. Ulimboka sijui aliishia wapi alibondwa Mwabepande wee na Baba Mwanaisha akasema hataweza kuwalipa na hata thumni hakuwaongezea hadi leo hii wanajifanya kutibu watu wakiwa na vifaa duni na mishahara duni ila wamekuwa wauaji badala ya kutoa huduma ya utabibu. Big up to Kenyan Doctors hawa wabongo waende Kenya wakajifunze. Kama kusoma hawajui hata picha kwenye CITIZEN TV hawawezi kuangalia. Mgomo wa Kenya umewapatia wengi elimu hapa Afrika Mashariki if not kwa Africa nzima. Tuendelee kushangilia mabadiliko ya katiba ya CCM ambayo yamefanywa kinyume cha katiba ya CCM tena under duress! Kumbe hiyo ndio kusoma namba in its full capacity? CCM juuu! Juu zaidi!
Una uhakika na unachoeleza?
Umewahi fika hospitali za Kenya. Sasa kwa taarifa yako rushwa iko juu kuliko unavyodhani. Halafu kuna moja ambalo mpaka kesho sijapata jibu, ni la madaktari kubaka wamama waliotoka kujifungua. Sasa sijui ni kwa LENGO gani, ni kushirikiana au nini??
Wewe ni hospitali gani ya Kenya umewahi fika ukashuhudia rushwa na wanawake kubakwa?
Wewe acheni propaganda. Kwani sasa kila kitu kuhusu Kenya ni mbovu tu?