Ningeifuta chama cha walimu (c.w.t), mimi naona hiki chama hakitetei haki za walimu kama ilivyokuwa chartism au trade union nchini uingereza, kwanza hakina huruma dhidi ya walimu