kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Ningepata nafasi ya kumshauri Fiston Mayele
Ningemshauri kuwa Na yeye aendae mchenzo wa kucsaidia ndugu zetu wa Kongo ya mashariki wanao teseka na vita mchenzo uo utausisha wachezaji wa Mazembe ,vita club,Na wachezaji wa yanga pamoja Na wasimba Na wengine
Mchezo uo utapigwa jijini Dar es Salam au Lubumbashi
Na amini unaweza kuingiza pesa nyingi.
Za kusaidia ndugu zetu wa Kivu ya mashariki