SoC04 Ningependa kuelewa tafsiri ya neno BungT ni Business of Everything Tanzanian

SoC04 Ningependa kuelewa tafsiri ya neno BungT ni Business of Everything Tanzanian

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
May 24, 2024
Posts
2
Reaction score
3
Natanguliza samahani kwa uwandishi wangu wengu wenye lafudhi ya mkoani tabora pia samahani kwa uwandishi mbovu kulingana na elimu yangu kuwa dogo.

Kwa jina wanalo tumia kunita ni Timotheo kiss mtandaoni ila jina kamili ni Timotheo A. Mongo,

Mawazo yangu katika shindano ili pamoja nauwakika wangu mdogo wa kushinda ila ningeomba kueleweka kwa ufupi, tafsili ya neno BungT ni Business of Everything Tanzanian nami ni mtalajiwa muanzilishi wa taasisi iyo. Yani C E O,

nipo katika muendelezo wa kujifunza elimu ya kujiajir na kuajili
Na kutafuta vijana wenzangu walau tuwe wanne katka kuanzisha Kampuni inayo husu Ifugaji unenepeshaji mbuzi na ng'ombe wa nyama,

Ushauli wangu kwa serikali katika kusaidia vijana wanao itaji kujiajili ni kupunguza kodi na kuwapa vibali maalumu watakavyo vitumia ndani ya mwaka mzuma bila kulipa bakodi kadhaa, pamoja na kufahamu jitiada zinazo fanywa na serikali ya mikopo ya 10% ni mpango ambao naona auta wafikia vijana wengi ata robo ya vijana wa taifa ili aita fika,

Mashaka yangu katika usalama wa taifa wimbi la vijana katika uwalifu limekuwa kubwa vijana kushinda kwenye beting asa mijini vijana walio na elimu na wasio na elimu wote wanabeti na kukaba na hii inatokana na nchi kukosa Mipango mizuri kwa vijana,
nikimalizia na nukuu ya VIJANA NI TAIFA LA LEO NA KESHO.
 
Upvote 5
Mawazo yangu katika shindano ili pamoja nauwakika wangu mdogo wa kushinda ila ningeomba kueleweka kwa ufupi, tafsili ya neno BungT ni Business of Everything Tanzanian nami ni mtalajiwa muanzilishi wa taasisi iyo. Yani C E O
Ebhana eeeeh! Bussiness of everything Tanzanian ni wazo zuri. Na je unamaanisha hizihizi bidhaa murua za wajasiriamali wa kitanzania.
kutafuta vijana wenzangu walau tuwe wanne katka kuanzisha Kampuni inayo husu Ifugaji unenepeshaji mbuzi na ng'ombe wa nyama,
Mradi mzuri sana, una mchango chanya kwa jamii na taifa kwa ujumla. Nzuri
 
Habari za wakati huu ndugu wa somaji,
Uhu ni muendelezo wenye ufafanuzi wa andiko langu la kwanza nililo lipa jina la BungT, ikiwa na maana ya Business of everything Tanzania,

Andiko langu ni ushauli wangu kwa serikari yetu, kuusu wizara yake ya Maendeleo asa maendeleo ya vijana, andiko hili si lakupuuza jitihada zifanywazo na serikali yetu ila ni katika kushauli, ushauli ambao utareta faida kwa taifa letu la Tanzania,


ushauli ambao nilitoa na ningependa nieleweke vizuri apa ni kwamba kama serikali inania ya kuona maendeleo ya vijana nchini selikali itoe vibali vya vijana kuanza biashala ndani ya mwaka mmoja ambapo talifa zake na zitatunzwa kupitia TLL NUMBELI kwa muda wamwaka mmoja na anatumiwa ujume wa sms kuwa kibali chako cha maendeleo kimeisha sasa unaweza temberea TRA kwa ajili ya kulipa kodi, naakika changamoto hii aipo kwangu pekee vijana wanaitaji kuanzisha makampuni kufanya biashara kubwa lakini wengiwao kinacho wakwamisha ni gharama ya vibari,

Ni ombi kwa wenye nafasi ya kuweza kulisemea ili jambo mbele ya wizara muhumu na wasiwachukulie vijana kama wezi wajanja wajanja vijana wengi mtaana wana mapenzi na nchi wanataka kufanya biashara ndani na nje ya nchi kama serikali itapuuza kundi kubwa kama ili vijana wanaweza chukia serikali yao na kijana akisha chukia serikali yake nini kinaweza kutokea, ni madhala mengi yanaweza tokea ila machache ni vijana kushiliki kuingiza vitu alamu nchini au kuona na kuto kutoa talifa za ovu kwa nchi,

Labda kwa kumalizia naomba nishinde naitaji pesa izi nizitumie kuanzisha kampuni ili niajili watu vijana wengi nchini
Mie ni raia mwema kwa jina natambulika kama Timotheo Mongo ila motandaoni Tinotheo Kiss mawasiliano 0689844135
 
Back
Top Bottom