mtageaugustine
Member
- Jan 12, 2015
- 67
- 59
fafanua vizuri hiyo research unayofanya na kwa nini..!! na unaifanya wewe kama nani...!!..ninavyosikia Daktari mwenye cheo kuanzia cha AMO, MD nakuendelea ndo wanaoruhusiwa kufanya postmoterm. sasa ningependa kujua ni sheria ipi au kanuni zipi zina wapa power ya kufanya postmoterm. Ningependa kujua Sheria au kanuni haswa, kwasababu hapa nilipo nafanya reserch. So majibu yenu yatanisaidia sana.