Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Na mimi nasubiriJe zina range bei gani za mwaka 2008 hadi 2012 ?
Je zipo zenye Automatic Transmission?
Vp kuhusu ulaji wake wa mafuta?
Karibuni ndugu.
Ahsante boss, pamoja sana.Za 2008 mpaka 2012 bei ni kuanzia 45m mpaka 70m. Zipo Automatic na kwa diesel zina engine ya 1kd,2kd na 5l. Chukua yenye 1kd kwa 1litre inakupa 10km mpk 12
Kama ukihitaji nicheki tukuagizie za kutoka South Africa, ndani ya wiki 2 gari inakuwa imefikaAhsante boss, pamoja sana.
Sawa mtaalaamKama ukihitaji nicheki tukuagizie za kutoka South Africa, ndani ya wiki 2 gari inakuwa imefika
Mkuu ingia twitter mcheki jamaa mmoja anajiita (Samatimemagari), kwenye Profile yake search (Hilux) kuna uzi ameielezea vizuri sana.Je, zina range bei gani za mwaka 2008 hadi 2012?
Je zipo zenye Automatic Transmission?
Vipi kuhusu ulaji wake wa mafuta?
Karibuni ndugu.
Be blessed.Mkuu ingia twitter mcheki jamaa mmoja anajiita (Samatimemagari), kwenye Profile yake search (Hilux) kuna uzi ameielezea vizuri sana.