Ningependa kujua kwa Dar ni hospital zipi wanapima na kutoa chanjo ya homa ya ini?

Yna aika

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Posts
350
Reaction score
1,022
Wakuu,Habarini.
Ningependa kujua kwa Dar ni hospital zipi wanapima na kutoa chanjo ya homa ya ini?
Na je kwa watoto wadogo kuanzia umri gani anatakiwa kupata chanjo io.
Ahsanteni.
 
Nilifanikiwa kupima na kupata chanjo Rabininsia.
 
We ni mshenzi sana sasa huu ni uzi wa nn? Bladfacken kabisa
 
Wakuu,Habarini.
Ningependa kujua kwa Dar ni hospital zipi wanapima na kutoa chanjo ya homa ya ini?
Na je kwa watoto wadogo kuanzia umri gani anatakiwa kupata chanjo io.
Ahsanteni.
Hv homa ya ini inasababishwa na nini na je dalili zake ni nin
 
Huu ugonjwa hatari sana, nilipokuwa na mahusiano na foreigner baada ya kunizoea kabla hajanipa tunda akanikomalia twende hospital nikachome sindano ya homa ya ini wenzetu wapo makini
 
Back
Top Bottom