Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii

Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii:

Nyumba ina:
Upana wa 15.5m
Urefu wa 10m

Bati za mita tatu

Style ya bati sio za kwenda juu kama za siku hizi. Mfano wa urefu na style ni kama hii.

Screenshot_20231123_113441_Gallery.jpg


Njuka II
 
Back
Top Bottom