mpuko
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 662
- 552
Habari zenu wakati jamvi.
Naomba kujuzwa. Hivi vikundi vya waasi, maharamia, magaidi nakadhalika. Huwa wanapata wapi silaha, mafunzo na vifaa vingine vya kijeshi? Huwa vinapitishwa wapi ili kuwafikia? Ni nani anaevifadhili na ni kwa faida ya nani? Kwa leo ni hayo.