Ni kweli bwana mshana. Lakini nadhani hujanijibu swali langu!
nilifikiri utanielewa ni hivi biashara yoyote inayohusika na faida kubwa lakini pia kuangamiza uhai hufanyika kimagendo wenyewe wanaita black market, na hiyo black market hufanywa pia na mataifa makubwa, upande mmoja wanauza silaha, upande mwingine wanachonganisha upande mwingine kiunafiki wanasuluhisha, kumbuka nchi kama marekani uchumi wake unategemea mauzo ya silaha kwa asilimia kubwa. dunia bila vita bila magaidi bila maadui wamarekani watakufa njaa!!! TAFAKARI
Ninawapaga mimi hizo silaha
Habari zenu wakati jamvi.
Naomba kujuzwa. Hivi vikundi vya waasi, maharamia, magaidi nakadhalika. Huwa wanapata wapi silaha, mafunzo na vifaa vingine vya kijeshi? Huwa vinapitishwa wapi ili kuwafikia? Ni nani anaevifadhili na ni kwa faida ya nani? Kwa leo ni hayo.
pesa wanapewa na nchi fulani....mfano kama boko, alshabab nchi zinazoea support zinajulikana na ni wanafiki wakubwana pesa za kununua slaha wanatoa wapi?
lazima ufahamu kuwa penye machafuko kuna watu wanaa nemeeka wana peleka ailaha huko.silaha zinatoka russia na america kwa wingi wao ndiyo arms dealer wakubwa.kwa hiyo hao watu wana smuggle silahaa na kuzingiza ktk nchi fulani.kifupi tu karibu kutafuta story ya victor bout jamaa alikuwa anauza silahaaa sehemu nyingi duniani.