Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili

Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili

kichekoh

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2015
Posts
1,376
Reaction score
1,479
Habari,

Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani.

Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama vile; wanga, protein, vitamin, mafuta, n.k. Lakini hii bado haitoshi kuhitimisha kusema kwamba hapa nimekula mlo kamili.

Hivyo basi kwa heshima na taadhima nakaribisha wale wajuzi na wabobevu wa masuala haya tushibishane maarifa juu ya suala hili la mlo kamili.

Wasaalam.
 
Balance diet
Is the diet which contain food nutrition in a right quantity and amount by propotion - difinition sijui ya darasa la sita b au c
 
Habari,

Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani.

Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama vile; wanga, protein, vitamin, mafuta, n.k. Lakini hii bado haitoshi kuhitimisha kusema kwamba hapa nimekula mlo kamili.

Hivyo basi kwa heshima na taadhima nakaribisha wale wajuzi na wabobevu wa masuala haya tushibishane maarifa juu ya suala hili la mlo kamili.

Wasaalam.
MLO KAMILI UWE UNAJUMUISHA MAKUNDI YOTE YA VYAKULA BILA KUSAHAU MAJI
 
Duuuh, Mimi nikianza kula tu naskia kiu sana hivo inabidi ninywe Maji nikiwa naendelea kula, hata nikiwa nakunywa chai hivi,nashindwa kucontrol kabisa[emoji30] [emoji30]
WATAALAM WA LISHE WANASEMA KUCHANGANYA MAJI NA CHAKULA MIUDA MMOJA UNALIPA TABU TUMBO KWENYE UMENG"ENYAJI WA CHAKULA VIZURI
 
UKIANZA KIDOGO KIDOGO UTAWEZA...HATA MIMI MWANZO ILIKUWA HIVYO

SASA HIVI NIMEJICONDITION KABISA...BAADA AU KABLA YA DAKIKA 30, 45 AU SAA 1 NDIO NAKUNYWA MAJI
Yaani, nilikua nakula hapa nimejisahau nimekunywa tena dah, naanza kesho[emoji30] [emoji30]
 
Back
Top Bottom