MLO KAMILI UWE UNAJUMUISHA MAKUNDI YOTE YA VYAKULA BILA KUSAHAU MAJIHabari,
Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani.
Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama vile; wanga, protein, vitamin, mafuta, n.k. Lakini hii bado haitoshi kuhitimisha kusema kwamba hapa nimekula mlo kamili.
Hivyo basi kwa heshima na taadhima nakaribisha wale wajuzi na wabobevu wa masuala haya tushibishane maarifa juu ya suala hili la mlo kamili.
Wasaalam.
ulaji na unywaji uzingatie utaratibu pia, sio unakula then kidogo tu umeshakunywa maji.MLO KAMILI UWE UNAJUMUISHA MAKUNDI YOTE YA VYAKULA BILA KUSAHAU MAJI
KUNYWA MAJI NUSU SAA KABLA AU BAADA YA MENYUulaji na unywaji uzingatie utaratibu pia, sio unakula then kidogo tu umeshakunywa maji.
Duuuh, Mimi nikianza kula tu naskia kiu sana hivo inabidi ninywe Maji nikiwa naendelea kula, hata nikiwa nakunywa chai hivi,nashindwa kucontrol kabisa[emoji30] [emoji30]KUNYWA MAJI NUSU SAA KABLA AU BAADA YA MENYU
WATAALAM WA LISHE WANASEMA KUCHANGANYA MAJI NA CHAKULA MIUDA MMOJA UNALIPA TABU TUMBO KWENYE UMENG"ENYAJI WA CHAKULA VIZURIDuuuh, Mimi nikianza kula tu naskia kiu sana hivo inabidi ninywe Maji nikiwa naendelea kula, hata nikiwa nakunywa chai hivi,nashindwa kucontrol kabisa[emoji30] [emoji30]
Aisee, itabidi nijitahidi japo huwa nashindwa[emoji122]WATAALAM WA LISHE WANASEMA KUCHANGANYA MAJI NA CHAKULA MIUDA MMOJA UNALIPA TABU TUMBO KWENYE UMENG"ENYAJI WA CHAKULA VIZURI
UKIANZA KIDOGO KIDOGO UTAWEZA...HATA MIMI MWANZO ILIKUWA HIVYOAisee, itabidi nijitahidi japo huwa nashindwa[emoji122]
Yaani, nilikua nakula hapa nimejisahau nimekunywa tena dah, naanza kesho[emoji30] [emoji30]UKIANZA KIDOGO KIDOGO UTAWEZA...HATA MIMI MWANZO ILIKUWA HIVYO
SASA HIVI NIMEJICONDITION KABISA...BAADA AU KABLA YA DAKIKA 30, 45 AU SAA 1 NDIO NAKUNYWA MAJI
STOP USING CAPITAL LETTERUKIANZA KIDOGO KIDOGO UTAWEZA...HATA MIMI MWANZO ILIKUWA HIVYO
SASA HIVI NIMEJICONDITION KABISA...BAADA AU KABLA YA DAKIKA 30, 45 AU SAA 1 NDIO NAKUNYWA MAJI
TULIZANA WEWE... STOP HIYO VIPI... MBONA WEWE UMETUMIA?STOP USING CAPITAL LETTER
STOP USING CAPITAL LETTER
Asante bibie kwa kukaziaNaunga mkono hoja ...inaboa kinyama yani
Joseverest hii style yako mpya haivutii, japo hainihusu lakini NATESEKA
MNATESEKA KIVIPI YAANI, MAANDISHI HAYASOMEKI AU?Naunga mkono hoja ...inaboa kinyama yani
Joseverest hii style yako mpya haivutii, japo hainihusu lakini NATESEKA
MNATESEKA KIVIPI YAANI, MAANDISHI HAYASOMEKI AU?
Kujibu kwa kufoka foka π π π, daah haya baby ushauri wenu nitaufanyia kaziBadilisha bhana,navyoyasoma huku mie nakupatia picha kama unajibu kwa kufoka foka
Kujibu kwa kufoka foka π π π, daah haya baby ushauri wenu nitaufanyia kazi
mazoea baby yana tabu sometimesOooh i love you!!
Japo najua umebadili hapa tu,nitakukuta sehemu zingine huko umeandika herufi kubwa za kufoka foka π