J Jasaym New Member Joined Apr 19, 2020 Posts 3 Reaction score 0 Dec 30, 2023 #1 Habari wakuu.. Samahani napenda kufahami zaidi kuhusu hii gari hasa performance, upatikanaji wa spea, na changamoto zake.. Natanguliza shukraniView attachment 2857132View attachment 2857131
Habari wakuu.. Samahani napenda kufahami zaidi kuhusu hii gari hasa performance, upatikanaji wa spea, na changamoto zake.. Natanguliza shukraniView attachment 2857132View attachment 2857131
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Dec 30, 2023 #2 Toyota inakosaga spea?
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Dec 30, 2023 #3 Zimeanza kuwa nyingi hizi barabarani kwanini unakuwa mwoga kwenye magari ya Toyota