Ningependa kuwa Software developer vipi nikisoma ICT?

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Wakuu mimi ni moja ya watu ninaopenda kuwa Software developing ninampango wa kusoma ICT je nitaweza kutimiza ndoto zangu?

Nakama mtu anaconnection ya chuo cha hapa Dar itakuwa poa
 
Utaweza ndio, ila sio kwamba ndo utafundishwa kuwa developer chuo. Chuo wanafundisha vitu general sana sababu unatakiwa ku cover vitu vingi vya ICT mfano networking na mambo ya hardware.
Ili kufanikiwa ni wewe kwenda deep zaid kwenye software kivyako na kutumia chuo kama platform ya kukutanisha na watu mfano ile time ya field unahakikisha umepata sehemu yenye software development.
Kuhusu chuo jaribu kuangalia UCC.
 
Ahsante
 
Back
Top Bottom