Wakiacha uhafidhina na ujingaujinga wa kiingereza wanaweza badilisha timu, hakuna maana wa kuendelea na de gea, maguire, rashford, martial, fred
Wasajili viungo ericson ameshachoka
Waamini vijana kama pellitri, Amada, ganarcho
Wasaka vipaji wachague kwa malengo sio mashabiki wanahitaji nini?