mr transcript
Member
- Sep 27, 2012
- 56
- 7
Habari zenu wana memba naomba mnisaidie hili swala mim ni mwanafunz wa chuo kikuu cha mjin iringa mwaka wa 3 had sasa cjalipa ada kutokana na matatizo ya kifamilia na had sasa cjajua nin hatima yangu je kwa aliyeshindwa kulipa ada semister moja hukum yake ni ipi je nin nifanye ili niondokane na hili tatizo msaada plz