Kila chuo kina utaratibu wake ndg, kwa mfano chuo nilichosoma mimi hata kama hujamaliza kulipa examination fee paper unafanya ila results ndo hupati. Hivyo kupata jibu la swali lako itategemea na ufaham wa watu juu ya chuo unachosoma, but kwa ushauri wangu jaribu kuonana na uongozi wa chuo chako uwaeleze juu ya hayo matatizo yako ya kifamilia yanayokukabili and I hope kama ni serious case watakuelewa, tatizo vijana wa vyuo ckuhz usanii mwing ndo maana hamuaminiki hata mkiwa na serious problems. Ni hayo 2!