Ustaaarabu unatofautiana kutokana na mila na tamaduni !kuna mahali ukifanya jambo fulani unaonekana si ustaarabu
Ustaarabu huambatana na hekima na heshima na adabu pia
Tabia njema kutopayukapayuka vyote hivi ni vichocheo vya ustaarabu
Asili yake ni enzi zile (kutokana na utumwa na ukandamizaji na waarabu kujiona / kuonekana kwamba ndio wapo civilized) basi ikawa mtu ukiwa civilized unaonekana umestaarabika just like arabs...
Source: Nilisikia hii story / historia kutoka kwa mtu sina uhakika kama ni kweli sababu sikuwepo