au mtwara kuna wilaya inaitwa lindi labda😎Mtwara katika wilaya ya Lindi??????????
Nenda ukareview tena madesa yako.
Mtwara ni mkoa na Lindi ni mkoa.
Hiyo ya marching guy si kweli. Hii ya marching guy ilizushwa na vijana wa mjini kutokana na wimbo wa Ace of Base All that she wants ambako vijana wa mjini waliianza kuimba oooh matching guy badala ya all that she wants. Hivyo maana sahihi ni kabila la wamachinga ndo walianza biashara ya kutembeza bidhaa mbali mbali wakati wa mzee Ruksa wakitumiwa na Wahindi. Wamachinga wote walikuwa wanaishi mbagala wale waliokuwa wanaaminiwa wanaenda kwa wahindi wanapewa bidhaa kwenda kutembeza mitaani na kurudisha mahesabu jioniAsili ya neno machinga ni "marching guy" likiwa na maana kijana anaetembea liliwalenga wale wafanyabiashara kutoka mtwara ambao wanafanya biashara kwa kutembea na vitu vyao wakiwa wamevibeba.
Maeneo ya zenji walikuwa wakiitwa mwilini shop[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Asili ya neno machinga ni "marching guy" likiwa na maana kijana anaetembea liliwalenga wale wafanyabiashara kutoka mtwara ambao wanafanya biashara kwa kutembea na vitu vyao wakiwa wamevibeba.
Maeneo ya zenji walikuwa wakiitwa mwilini shop[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
"Marching guy" hapa ndipo hasa lilipotoholewa neno MACHINGA wengine achana naoMerchant ni kiingereza kikimaanisha mtu ananunua bidhaa na kuuza.
Siku zote najua imetokea hapo