Nini athari ya kamari na betting kiuchumi?

Nini athari ya kamari na betting kiuchumi?

coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,264
Reaction score
2,676
Ukifuatilia hii michezo ya kamari mathalani hizi za mitaani utaona kua hakuna uzalishaji wa aina yoyote isipokua kuhamisha pesa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, je kiuchumi kamari pamoja na michezo ya ku bet ina faida na hasara gani? Wadau naomba tujadili.
 
Ujadili na nani mkuu wakati watu yunapiga pesa ktk mikeka raha ya ngoma uingie ucheze mm napata sana shida hizi league kubwa zimesimana.km kitu hukipendi na hukitumii usikijadili mkuu. Bungeni imesharuhusiwa ni michezo halari
 
Kamari haijawahi kuwa na athari ya aina yeyote...
 
Waendeshaji wanalipa kod kama biashara nyingine zozote. Na pia wana lesen yao ambayo nayo wanailipia . Hapo tu tayar wameongeza mapato kwa TRA
 
Waendeshaji wanalipa kod kama biashara nyingine zozote. Na pia wana lesen yao ambayo nayo wanailipia . Hapo tu tayar wameongeza mapato kwa TRA

vipi kuhusu hizi kamari za mtaani mfano kamari za karata ambazo hazilipi kodi?
 
Back
Top Bottom