Ukifuatilia hii michezo ya kamari mathalani hizi za mitaani utaona kua hakuna uzalishaji wa aina yoyote isipokua kuhamisha pesa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, je kiuchumi kamari pamoja na michezo ya ku bet ina faida na hasara gani? Wadau naomba tujadili.