LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Najua pesa Mara nyingi Ndo inaamua uishi maisha ya aina gani
Lakini tukienda kwenye mada Mimi naona kuzungushia nyumba ukuta ni kukwepa majukumu au kazi Mungu aliyotuletea
Nyumba zenye mageti kwa asilimia kubwa waishio humo huwa ni Kama wamejitenga na jamii kwa asilimia flani hivi, japo sio zote
Mfano upo katika matembezi Halafu ukapata uhitaji wa kitu iwe kuuliza au kitu, mbele yako pana nyumba mbili moja ya geti na nyingine ipo tu wazi sio ya geti, utaelekea upande upi ukatatue shida yako,
Nionavyo mimi kwa wale tunaoamini katika mungu ukijenga geti nyumba hupunguza wageni wapya zaidi wanabaki wale waliokuzoea tu muda mwingine hata majirani hupunguza kuingia au watoto kucheza pamoja