Nini cha kufanya iwapo haupati mmanzi

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Usimuulize msichana kama yupo single au hapana. we mchukue, mpeleke lunch, mfanye acheke, mpe hela!
Halafu yeye ndio ataamua kama yuko Single au[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji28] [emoji28]
 
Mimi huwa sihangaiki na kumchunga chunga msichana. Eti mara kushika shika simu yake. Ninachofanya ni kuwapa bata na attention za nguvu mpaka yeye mwenyewe anaona wale wanaume wengine taka taka. So anawaacha mwenyeweee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…