Kitangiri15
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 348
- 734
Kuna malipo?Tuma neno "mtoto" kwenda namba 1548.
Tuma neno "mtoto" kwenda namba 1548.[/QUOTE by the way ahsante.
Huduma hii ni bure kwa mitandao yote.Kuna malipo?
Ahsante mkuuMuhimize awe anafanya mazoezi mara kwa mara, na ingependeza zaidi ungefanya nae hiko ndio kitu cha kwanza cha kuzingatia,
vile vile zingatia mlo kamili ila aepuke kula vyakula vitakavyompelekea mtoto akapata aleji au unene au uzito wa kupitiliza kwani itampelekea mke ajifungue kwa operation.
Vyakula ambavyo havipendi usimlazimishe sana, mboga za majani mpe kwa wingi ili kumuongezea damu ikiwezekana atumie dawa za kiswahili mfn mizizi au majani yanayosaidia kuongeza samu ili kuepukana na matatizo ya kuja kuongezewa damu nyakati za kujifungua(kuna kiwango kinachohitajika cha damu ili mama mjamzito aweze kujifungua)
mengine watakuja wajuzi zaidi.
Angalau ahudhurie kliniki mimba ikiwa Na miezi mingapi?Muhimize awe anafanya mazoezi mara kwa mara, na ingependeza zaidi ungefanya nae hiko ndio kitu cha kwanza cha kuzingatia,
vile vile zingatia mlo kamili ila aepuke kula vyakula vitakavyompelekea mtoto akapata aleji au unene au uzito wa kupitiliza kwani itampelekea mke ajifungue kwa operation.
Vyakula ambavyo havipendi usimlazimishe sana, mboga za majani mpe kwa wingi ili kumuongezea damu ikiwezekana atumie dawa za kiswahili mfn mizizi au majani yanayosaidia kuongeza samu ili kuepukana na matatizo ya kuja kuongezewa damu nyakati za kujifungua(kuna kiwango kinachohitajika cha damu ili mama mjamzito aweze kujifungua)
mengine watakuja wajuzi zaidi.
AhsanteJambo la msingi na la maana mpeleke kliniki ya mama mjamzito mapema kadri iwezekanavyo..kule utapewa ushauri na kinga mbalimbali...
shukraniMiez 3_5 ya mwanzo afanye kazi nyepesi nyepesi,mazoezi haishauriwi sana mana inaweza msababishia mimba kutoka...ale matunda mboga za majan kwa wingi...clinic aanze haraka iwezekanavyo mana kama kuna tatizo liweze kugundulika mapema