Nini Cha Kufanya Ukishagundua Mwenzi Wako Anatembea Nje


Mkuu;

Hakika tabia za watu zinatofautiana. Kama wewe ni Mwislamu au Mkristo kuna visa vingi sana katika Vitabu hivi vitakatifu.

Ninacho kisa kingine cha kweli ambacho Jamaa alimkuta mama live na mgoni wake akaruka dirisha na kukimbia.

Mume alimpiga saaaaaannnnaaaaa mkewe nusura afe. Wakati anampiga alifunga milango yote, alifungua tu baada ya kuona mamaa akawa kimyaaa. Nadhani alijua amekufa. Yule mama alipopelekwa hospali alikuwa bado mzima na akalazwa hospitali Mwezi mzima. Manesi wote walimzuia Mume kuja kumwona mkewe. watu wote walimchukia.

Mamaa alipoponaa kabisa, cha ajabu sana akarudi nyumbani kwa mumewe. Naam, Mume akamwomba radhi baada ya mazungumzo marefu sana yakaisha.

Sasa, ikitokea hata Mr. akakohoa au kupiga chafya mamaa anafikiri anataka kupewa mkong'oto mwingine kwa hiyo anashituka shituka.

Maisha bwana . . . We achaaa tuuuu.
 
Nafikiri kama muko ndani ya ndoa ni kumkanya then kama hakusikia unaweza kuachia ngazi.
 

Dada samahani, ila signature yako inanipa wasiwasi kidogo. Kama hutamaind ifafanue pliz hata kwa kuni-PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…