gsmsolution2009
Senior Member
- May 7, 2013
- 120
- 7
Kesi gani ya madai isiyo na dhamana? Kesi isiyo na dhamani ni jinai, tena baadhi ya makosa kama uhaini na unyang'anyi wa kutuma silaha. Katika kesi ya madai mfungua mashtaka hana udhibiti wowote wa mdaiwa. kuwa mkweli mkuu, sema tu kosa lililofanyika. Kihalisia kesi ya madai hata hao askari hawahusiki.Wadau kama kuna mtu anajua naomba anifahamishe nini natakiwa kufanya kama maaskari wanakataa kutoa dhamana katika kesi ya madai kwa sababu mfungua mashtaka anakataa mtu huyo asipewe dhamana na wao wanamsikiliza yeye
Suala la kufanya kama mtu ananyimwa dhamana na anashikiliwa kinyume na matakwa ya sheria, waweza omba amri ya mahakama ili huyo aliyeshikiliwa kinyume na sheria aletwe mahakamani ili ijulikane hatia yake ama kosa lake. Amri hiyo huitwa Harbeas Corpus kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai.Wadau kama kuna mtu anajua naomba anifahamishe nini natakiwa kufanya kama maaskari wanakataa kutoa dhamana katika kesi ya madai kwa sababu mfungua mashtaka anakataa mtu huyo asipewe dhamana na wao wanamsikiliza yeye
Halafu mnapokuwa mnauliza maswar weken maswar kweny mstari ulionyooka,,hyo dhamana amenyimwa Kwa kosa gan? Anyway nisiende hukoWadau kama kuna mtu anajua naomba anifahamishe nini natakiwa kufanya kama maaskari wanakataa kutoa dhamana katika kesi ya madai kwa sababu mfungua mashtaka anakataa mtu huyo asipewe dhamana na wao wanamsikiliza yeye