Nini cha kuzingatia kabla ya kununua jenereta kwa ajili ya kukodisha?

Nini cha kuzingatia kabla ya kununua jenereta kwa ajili ya kukodisha?

Hakim Seif

Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
20
Reaction score
9
Habari za wiki?
Baada ya kudunduliza kwa muda nimefanikiwa kupata mtaji wa kufanya biashara ya kukodisha majenereta. Ni mambo gani muhimu ninatakiwa nizingatie ili nisije kujifunza the hard way? Namna ya kuendesha biashara, connections, aina ya jenereta za kununua n.k
 
Cha kwanza ujue matumizi ya hilo jenereta kwa unaowakodisha ukilinganisha na uwezo wa jenereta lako kuzalisha umeme.

Mengine utakutana nayo ukiwa site!

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom