Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

Nini cha kuzingatia wakati unahojiwa na Police.

Utulivu muhimu hasa kwenye kujibu maswali yao, usijichanganye katika majibu
 
Cha maana ujiamin na ikiwezekana rizika sana hata kama wamesema uende saa mbili wewe nenda saa nne. ..usisahau kitu kidogo maana mkono mtupu haulambwi tena na hizi sikukuu ....
Mimi niaapunic sana, Je in sawa nikienda na mwanasheria ?
 
Jibu unachoulizwa kama unakijua waelezee,, jiamini, wape ushilikiano askr kwa kile wanachotaka kutoka kwako, usiwadanganye askr maana ni kosa la jinai, zingatia mda wa kufika na kama kuna tatizo wambie nina tatizo kidogo nitachelewa askr wetu ni waelewa na watakuelewa,, hiv ndo vitu vya msingi ukiitwa na polis kwa mahojiano...pia baada ya mahojiano kuishi unaweza kuwa na tatizo ambalo linahusiana na polis na hujapata mwafaka wake waulize ili wakusaidie....pia kumbuka kuwa msafi sio uende ukiwa umevaa pesi au nguo za ajabu ajabu ni hayo tu.
 
Polis wetu hawatabiriki bwana. Wengine ni wavuta bangi. Hasa wenye matatizo ni hawa wa kada ya chini. Wao wanajua wanajua kuwa wanaweza kupanda cheo kwa kukufanyia ukatili. Ndg yangu nenda umeaga kabisa maana kuna visa vingi watuumiwa kufia vituoni.
 
Kwa kifup Kuna bint nilikuwa nachat naye na wazaz wake wametilia mashaka hayo mawasiliano ,sikuwahi kumtongoza Ila msg zinaonyesha intimacy kwa kiasi Fulani.
duh ni mwanafunzi?
 
Kwa kifup Kuna bint nilikuwa nachat naye na wazaz wake wametilia mashaka hayo mawasiliano ,sikuwahi kumtongoza Ila msg zinaonyesha intimacy kwa kiasi Fulani.
Sawa, je una umri gani na huyo binti ana umri gani? Je uliwahi kugombana na huyo binti kiasi cha kumtolea vitisho au ulimpa mimba? Binti anasemaje kuhusu suala hilo?

Jibu maswali yote.
 
Sawa, je una umri gani na huyo binti ana umri gani? Je uliwahi kugombana na huyo binti kiasi cha kumtolea vitisho au ulimpa mimba? Binti anasemaje kuhusu suala hilo?

Jibu maswali yote.
Bint hana tatizo kabisa shida in kuwa wao wanaugovi na aliyepeleka kesi inaonyesha katoa pesa nyingi. Bint sinatatizo naye hata ivyo ye ndio alinipigia SIMU akanieleza hata kabla ya tatizo. Just this time kanitumia msg kuniomba msamaha kuwa amenisababishia trouble. Kwa ujula hakuna mambo ya mimba maana bint sio mpenz wangu.
 
Mkuu hujajibu maswali niliyokuuliza.
 
Wewe si mtu mzima. Si mnasemaga utu uzima dawa.. sasa tumia utuuzima wako
 
Back
Top Bottom