Tusimpoteshe mwanasheria police anaenda kufanya nn?? Mwanasheria police hatakiwi kuongea chochote zaid ya kuangalia jinsi wanavyokuhoji...na wakati mwingine police wanaweza mfukuza....polis wanahitaji kukuhoji ww na sio mwanasheria wako....mwanasheria wako sehem pekee anaweza ongea badara yako ni mahakamani na sio police.......Tafuta mwanasheria mkuu!
Namaanisha atafute mwanasheria ili amsaidie cha kujibu!!Tusimpoteshe mwanasheria police anaenda kufanya nn?? Mwanasheria police hatakiwi kuongea chochote zaid ya kuangalia jinsi wanavyokuhoji...na wakati mwingine police wanaweza mfukuza....polis wanahitaji kukuhoji ww na sio mwanasheria wako....mwanasheria wako sehem pekee anaweza ongea badara yako ni mahakamani na sio police.......
Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
Kuwasiliana na binti sio kosa...kosa ni endapo ulionyesha nia ya kumtaka au ulionyesha vishawishi vya kumfanya yy mwenyewe akupenda....pia huyu binti ni mwanafunz au binti wa aina gan?Kwa kifup Kuna bint nilikuwa nachat naye na wazaz wake wametilia mashaka hayo mawasiliano ,sikuwahi kumtongoza Ila msg zinaonyesha intimacy kwa kiasi Fulani.
Kwa nini aifiche kwani hairuhisiwi kwa mtu yeyote tu kuitumia???Usisahau kwenda na nano-spy watch yako ukiwa umeficha kwenye nywele halaf ukitoka utupie video/audio ya mahojiano
Inaruhusiwa lakini wakigundua lazima wajirizishe kama imerekodi au la na kama imerekodi lazima asweke ndani na kupigishwa zoezi la msamba alfajiri vinginevyo isiwe hapa Shengeni.Kwa nini aifiche kwani hairuhisiwi kwa mtu yeyote tu kuitumia???
Mahojiano yako ndo yanaweza kukupeleka segerea, ukiwa mjanja unamruka huyo binti kwamba humfahamu na hujui kitu kuhusu huyo mzee(ila wakifuatilia mawasiliano yako utaonekana una kosa) hivyo mahakamani huyo aliyekushtaki atatakiwa athibitishe tuhuma zake kwako.Bint sijawahi kugombana naye umri ni 16 taarifa za kuwa nawaailiana naye zilipatikana kwenye makampuni ya SIMU yeye walimpeleka polis kwa mahojiano Ila hakusema nawasiliana naye .
Binti wa miaka 16 unachat nae nn? Halafu ukute ww una zaid ya miaka 25...Bint sijawahi kugombana naye umri ni 16 taarifa za kuwa nawaailiana naye zilipatikana kwenye makampuni ya SIMU yeye walimpeleka polis kwa mahojiano Ila hakusema nawasiliana naye .
Maelezo niliyotoa hujayaelewa au umeamua tu kwa makusudi kuanzisha mada MPYA Mkuu?Binti wa miaka 16 unachat nae nn? Halafu ukute ww una zaid ya miaka 25...
Hapana aisee....hatuwez tu kuingia kwenye akili au mawazo yako lkn akili za wanaume wote tunajuana...
Unaweza kumtambua kichaa mtoto?Wewe si mtu mzima. Si mnasemaga utu uzima dawa.. sasa tumia utuuzima wako