Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Nashukuru kwa ushauri wako Ila wakati mwingine usi generalize sana mambo. Usichojua no kama usiku wa Giza . nikupe clue tu kwamba motto huyo wa miaka 16 anamiliki Fuso Tiper mbili na mi nafanya biashara za vifaa vya ujenz so kwa namna Moja au nyingine nafanya naye biashara. Kuna mambo huwez kuconclude tu kwa ujumlajumla.Sijui kwanini watoto wa shule sina habari nao kabisaa hata awe mzuri kama j.lo...
Yaani amini amini nakuambia hata awe mzuri kiasi gani ila akiwa bado unatumia uniform kwenda shuleni mi sina hisia kabisa.....
I wish wanaume wote wangepata hisia kama hizi nadhani wadogo zote wangemaliza shule wakiwa salama.....
Anyway mkuu turudi kwenye mada binafsi sikushauri uende na umefanya makosa kupatana nao lini uende, we ungekaza nimesafiri nitakuja nikirudi. Ila kama umewaahidi nenda ila kesi inakunyemelea hapo....16yrs ni kabinti kadogo sana na kiuhalisia huwezi kuwa na rafiki wa age hiyo mkawa mnawasiliana otherwise kuna kitu ulichokua unakitaka kutoka kwake.
Umesema vema, kama unafanya nae biashara tu na hakuna chochote kibaya umefanya huna haja ya kuhofia wala huna haja ya kuomba msaada cha kusema kwa hao polisi. Nadhani kutakua na shida mahali kati yako na wewe nje ya hiyo biashara yenu na hicho ndicho kinachokutia shaka.Nashukuru kwa ushauri wako Ila wakati mwingine usi generalize sana mambo. Usichojua no kama usiku wa Giza . nikupe clue tu kwamba motto huyo wa miaka 16 anamiliki Fuso Tiper mbili na mi nafanya biashara za vifaa vya ujenz so kwa namna Moja au nyingine nafanya naye biashara. Kuna mambo huwez kuconclude tu kwa ujumlajumla.
Mzaz mmoja alifariki na bahat nzur alijua atakufa kabla ya Siku ya kifo hivyo kwakuwa alikuwa hamuamin mzaz mwenzake alitumia siku zake za mwisho kumfundisha mwanae biashara na kumridhisha mali ki sheria. Kwa hiyo huu ni ugomvi wa baba na mtoto kuhusu mali. Kwa kifup ni mbinu ya kujaribu kumpunguzia marafiki ambao wangemsaidia kusonga mbele. Hizo tiper mbili ni sehem ndogo sana ana mali nyingi mno.Umesema vema, kama unafanya nae biashara tu na hakuna chochote kibaya umefanya huna haja ya kuhofia wala huna haja ya kuomba msaada cha kusema kwa hao polisi. Nadhani kutakua na shida mahali kati yako na wewe nje ya hiyo biashara yenu na hicho ndicho kinachokutia shaka.
Anyway kama hakuna chochote nenda tu mkuu huko polisi ila kama mtoto wa 16yrs ana miliki Fuso kwa lugha rahisi familia yake inajiweza kiuwezo. Kwa hilo napata mashaka sana kama afta hiyo alhamis tutakuona mtaani mpaka jumatatu inayofuata.
Sio kama nakutisha ila kuwa makini, ningekua mimi binafsi nisingejipeleka huko polisi.
Hao watakua kuna wanachokutafuta. Jiulize tu kuna shida gani mpaka uitiwe polisi? Kama ni jambo linalohitaji maelewano kwanin wasikuite mkamalizana?
Kulala sero hillo sio rahis sanaUmesema vema, kama unafanya nae biashara tu na hakuna chochote kibaya umefanya huna haja ya kuhofia wala huna haja ya kuomba msaada cha kusema kwa hao polisi. Nadhani kutakua na shida mahali kati yako na wewe nje ya hiyo biashara yenu na hicho ndicho kinachokutia shaka.
Anyway kama hakuna chochote nenda tu mkuu huko polisi ila kama mtoto wa 16yrs ana miliki Fuso kwa lugha rahisi familia yake inajiweza kiuwezo. Kwa hilo napata mashaka sana kama afta hiyo alhamis tutakuona mtaani mpaka jumatatu inayofuata.
Sio kama nakutisha ila kuwa makini, ningekua mimi binafsi nisingejipeleka huko polisi.
Hao watakua kuna wanachokutafuta. Jiulize tu kuna shida gani mpaka uitiwe polisi? Kama ni jambo linalohitaji maelewano kwanin wasikuite mkamalizana?
Unatufanya sisi mazezeta sio?Kwa kifup Kuna bint nilikuwa nachat naye na wazaz wake wametilia mashaka hayo mawasiliano ,sikuwahi kumtongoza Ila msg zinaonyesha intimacy kwa kiasi Fulani.
Hahaha basi sawa mkuu nakuja pm unipe namba na mimi nifanye nae biashara....Kulala sero hillo sio rahis sana
Mkuu. Ingekuwa tu rahis kama wangenikamata kwa kunistukiza, hata mm sio mtu mwepesi mwepesi sana mkuu.
Hahaha mkuu biashara unataka ufanye nae peke yako tu? Kama umeamua kumsaidia msaidie hata kwenye kukuza na kutanua biashara yake [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu utan no mzur sana Ila sio kwenye mambo sensitive kama haya , usiku mwema.
Hamna kesi hapo,mahakama zetu tukufu hazifanyii kazi hisia.Kwa kifup Kuna bint nilikuwa nachat naye na wazaz wake wametilia mashaka hayo mawasiliano ,sikuwahi kumtongoza Ila msg zinaonyesha intimacy kwa kiasi Fulani.
Kesi ya kilofa tu hiyo,nenda kwa muda wako,waulize wanataka nini.Kwa kifup Kuna bint nilikuwa nachat naye na wazaz wake wametilia mashaka hayo mawasiliano ,sikuwahi kumtongoza Ila msg zinaonyesha intimacy kwa kiasi Fulani.
Lakin ana haki ya kuwa shahidi wako katika statement yako,just incase wamekufanyia figisu.Na wakili akiwepo wanaogopa kupindisha mambo.Tusimpoteshe mwanasheria police anaenda kufanya nn?? Mwanasheria police hatakiwi kuongea chochote zaid ya kuangalia jinsi wanavyokuhoji...na wakati mwingine police wanaweza mfukuza....polis wanahitaji kukuhoji ww na sio mwanasheria wako....mwanasheria wako sehem pekee anaweza ongea badara yako ni mahakamani na sio police.......
Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
Hamnaga hiyo kitu,msimtie wogaKuwasiliana na binti sio kosa...kosa ni endapo ulionyesha nia ya kumtaka au ulionyesha vishawishi vya kumfanya yy mwenyewe akupenda....pia huyu binti ni mwanafunz au binti wa aina gan?
Sent from my HUAWEI Y600-U20 using JamiiForums mobile app
Mkuu la muhimu ni kuwa Smart by physical appearance na Kichwani pia.Nimeitwa Police kwa mahojiano kwa bahati mbaya nipo safarini kwa hiyo tumekubaliana niende Alhamisi, pamoja na utu uzima huu sijawahi kufanyiwa mahojiano, Je nn cha kuzingatia? Kesi inadhama na .