Umeoa/umeolewa/utaoa/utaolewa nini kitakusukuma/kilikusukuma kufanya hivyo?
Hehee kwani hamuwezi kuoneshana bila kuoana?
Umeiangalia ktk upande mmoja tu, ndoa zisizomshirikisha mungu unaziweka kundi gani?maswali yako yamekaa katika kufanya uzi wako uonekane mreeeefu,,,,,,kama hamjaoana mnamchukiza mungu,ofcoz unalijua hili,,,,,,
Mie ukweli nilichoka na sheria za nyumbani mpaka madukani lazima upelekwe ukichelewa kurudi utakiona kilichomtoa kuku
manyoya,nilikua nafanya kazi lakini story ikawa hiyo hiyo nikaona bora niolewe yaishe tutapenda huko huko mbele ya safari
lakini alhamdulilah namshukuru mungu mpaka hapa tulipofikia...
ulichaguliwa mume?????
Dogo hilo? laitanai ungejua ukali wa wazee wangu kwa watoto wa kike.Haahaaa duuuh wewe pole yako, yani uliamua kuolewa kwaajili ya hayo? Haahaa
Dogo hilo? laitanai ungejua ukali wa wazee wangu kwa watoto wa kike.
Alhamdulillah tunaishi kwa amani na kama unavyojua misukosuko kwenye family haikosekani. lakini tunaendelea.Hahaaahaa lakini si unaishi nae vema? Mshukuru mungu kama amani na upendo vipo!
Umeiangalia ktk upande mmoja tu, ndoa zisizomshirikisha mungu unaziweka kundi gani?
Nadhani ungeeleza wewe binafsi kutoka moyoni mwako kisha uchangie kwa ujumla!
Lengo ni elimu ya mahusiano mkuu, urefu wa uzi hauna mantiki ikiwa hakuna hoja na majibu mujarabu!
Apana sikuchaguliwa lakini sikupata time yakumjua vizuri nakumpenda..
Hongera sana!Kampani, kusaidiana, heshima kutoka kwa jamii na kufanya tendo takatifu la ndoa.
Hehee umeniacha pori hapa mkuu!ndoa zisizomshirikisha mungu,,,naziweka kwenye kundi la kutomshirikisha mungu,,,,,,,na zinazomhusisha mungu zitakaa HUKO
Hehee umeniacha pori hapa mkuu!
nadhani sababi hizi zinachangia sana kwa mtu kupata msukuma wa kuoa/kuolewa
1.Upendo - umempenda mtu kiasi ambacho unahisi huhitaji kuwa nae mbali
2. kupata watoto na kusaidiana katika kuwalea
3. mimba - binti anapata mimba then anaamua tu kuolewa kuliko kuzalia home
4. msaada wa kipato - mkiwa wawili ni rahisi kusaidina kipato, ingawa pia kuna wengine wanaingia ktk ndoa kutokana na ugumu wa maisha ya nyumbani kwao au sababu kampata mtu mwenye kipato
5. Kampani - mke na mume ni kampani nzuri sana
6. kuiga - wengine wanaiga sababu marafiki au watu wao wa karibu wameingia katika ndoa
7. kutoka nyumbani - wengine wanataka tu kutoka home
8. hofu ya kuachwa - laba asipo oa/olewa anaweza kuachwa
9. Uangalizi - kuwa na mtu karibu anayemjali
10. Ngono
usikubali nikuache,,,twende pamoja yeriii