Cloatus Chota Chama
Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili.
Kwa tabia hii ni vizuri Kwa viongozi wa Simba wasibabaike na Hilo la Chama wamwache asuke au anyoe atajijua mwenyewe, kwani Simba ni Taasisi kubwa kumepita watu wa maana hapo, kulikuwa na Akina Okwi, Nteze John na wengi wengi Tu, na enzi zao zimepita na sasa nae Chama apite Tu nae tutamsahau.
Simba Nguvu Moja!
PIA SOMA
- Cloatus Chota Chama anataka mpunga mrefu ili kubaki Simba