Kweli na kule GSM out,Manji In.Kwa mstakabali wa simba mpya chama out.
Chama anawatesa sana, mtalia Lia mnoo kama wendawazimu.Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili.
Kwa tabia hii ni vizuri Kwa viongozi wa Simba wasibabaike na Hilo la Chama wamwache asuke au anyoe atajijua mwenyewe, kwani Simba ni Taasisi kubwa kumepita watu wa maana hapo, kulikuwa na Akina Okwi, Nteze John na wengi wengi Tu, na enzi zao zimepita na sasa nae Chama apite Tu nae tutamsahau.
Simba Nguvu Moja!
Naongezea; alikuwepo Zamoyoni Mogella. Huyu alikuwa ni nembo ya Simba. Simba tulimpenda na yeye alitupenda. Mwishoni mwa enzi zake akaenda Yanga. Simba tulimbariki aende huko Yanga akutakako. Leo Mwana Simba gani anajua kuwa Mogella alikuwa Simba? Je, Kuna Mwana Yanga anajivunia kuwa Mogella alicheza Yanga? Nini Chlatus Chota Chama?Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili.
Kwa tabia hii ni vizuri Kwa viongozi wa Simba wasibabaike na Hilo la Chama wamwache asuke au anyoe atajijua mwenyewe, kwani Simba ni Taasisi kubwa kumepita watu wa maana hapo, kulikuwa na Akina Okwi, Nteze John na wengi wengi Tu, na enzi zao zimepita na sasa nae Chama apite Tu nae tutamsahau.
Simba Nguvu Moja!
Hakuna ' Sizitaki mbichi hizi' Ukweli utabaki ni ukweli Tu! Kila kitu na wakati wake na kila wakati na kitu chake! ukiwa mwelewa ahutababaika na na suala la yeyote anayetaka kuondoka na si Chama Tu! Tutamsahau tu! Na timu itajengwa na itakuwa imara Tu.Kwenye ujenzi wa timu ya ubingwa hivyo sizitaki mbichi hizi hazitosaidia, muhimu wenye dhamana wafanye iwavyovyote mwana abaki kikosini.
Hakuna ' Sizitaki mbichi hizi' Ukweli utabaki ni ukweli Tu! Kila kitu na wakati wake na kila wakati na kitu chake! ukiwa mwelewa ahutababaika na na suala la yeyote anayetaka kuondoka na si Chama Tu! Tutamsahau tu! Na timu itajengwa na itakuwa imara Tu.
Uko sahihi mkuu!YANGA Kaondoka Feisal na maisha yanaendelea, kaondoka Mayele na maisha yanaendelea!lkn Simba wanampa Chama umuhimu ambao wanahisi akiondoka hana replacementView attachment 3026239
Cloatus Chota Chama
Nikiwa shabiki wa Simba niliupenda uchezaji wa Chama lakini nimekuwa nakerwa mno na tabia yake ya kuzua sintofahamu kila unapofika wakati wa usajili.
Kwa tabia hii ni vizuri Kwa viongozi wa Simba wasibabaike na Hilo la Chama wamwache asuke au anyoe atajijua mwenyewe, kwani Simba ni Taasisi kubwa kumepita watu wa maana hapo, kulikuwa na Akina Okwi, Nteze John na wengi wengi Tu, na enzi zao zimepita na sasa nae Chama apite Tu nae tutamsahau.
Simba Nguvu Moja!
PIA SOMA
- Cloatus Chota Chama anataka mpunga mrefu ili kubaki Simba
Huu utakuwa ni zaidi ya ujinga na upumbavu wa kiwango cha juuKwenye ujenzi wa timu ya ubingwa hivyo sizitaki mbichi hizi hazitosaidia, muhimu wenye dhamana wafanye iwavyovyote mwana abaki kikosini.