Nini chanzo cha baadhi ya mahusiano kudumu na mengine kutodumu?

Nini chanzo cha baadhi ya mahusiano kudumu na mengine kutodumu?

Ryan Herman

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
42
Reaction score
46
Mahusiano ya kimapenzi huwa na mazuri pale mwazoni, wengine hudai kuwa unavyoanza mahusiano mapenzi mwanzo ndivyo hukua.

Je, ni kwanini baadhi ya mahusiano ya mapenzi huvunjika na mengine hudumu daima?

Je, umewahi kujiuliza “Kwa nini ni uhusiano wetu una shida sana? Mambo yalikuwa mazuri sana tulipoanza, nini kimetokea?“

1619946104527.png

 
Chanzo cha mahusiano kudumu au kutodumu inategemeana na mpendaji kuliko mpedwaaa

1.kama mpendaji alikupendea pesa siku ukiishiwa na penzi limeisha

2.kama mpendaji alikupendea kazi uliyonayo siku ikiondoka na yeye anaondoka

3.kama mpendaje amekipendea tabia basi siku ukianza kibadilika na ndio mwisho wako
 
Kuna baadhi wamekulia katika mahusiano ya ndugu au wazazi ambao wamevunja mahusiano mengi. Kizazi hiki hata uweje nacho lazima kivunje mahusiano au ndoa
 
Back
Top Bottom