Ubinafsi na kutojiamini kwa wanaume.
Mke anafight kulinda ndoa,
Mume anafeel inferior na kimoyo moyo haishi kufikiria mwizi huenda ni bora kuliko yeye ktk faragha!
Ni opinion yangu tu!
Ubinafsi na kutojiamini kwa wanaume.
Mke anafight kulinda ndoa,
Mume anafeel inferior na kimoyo moyo haishi kufikiria mwizi huenda ni bora kuliko yeye ktk faragha!
Ni opinion yangu tu!
Hivi kwa nini mwanamke akitoka nje ya ndoa mara nyingi inakuwa ndo mwisho wa ndoa ila mwanaume akitoka nje ya ndoa(kusaliti) ugomvi unakuwa mdogo na ikiweze suluhisho hufanywa na ndoa inaendelea.Swali langu ni kuwa "kuna nini kimefichika hapa?"Haswa kwa ndoa zetu za kibongo.WASOMAJI NAOMBA MITAZAMO YENU KWENYE HILI
Kwani Mwanaume huwa anakwenda chumba cha KUJIFUNGUA?
Sasa vinafananaje na topic yetu?
Si kweli kaka kwa hiyo unataka kusema confidence level ya men ni ndogo kuliko ya women?
Toka enzi hizo, mwanaume iliwezekana kuoa zaidi ya mke m1, na wanawake walikubari hilo, hivyo basi japokuwa kwa sasa chembechembe hizo zinapungua, lakini bado inavumilika kwa mwanaume ku-simbachawene (kufumaniwa) kuliko mwanamke, wengine wanaande mbali wanawaponda kwa mawe.
Ilikuwa inawezekana zamani.ndio maana misemo ya kitanda hakizai haramu ikawapo. wanawake walikuwa wanazaa nje ya ndoa inajulikana, na mwanaume kwa kuwa ana mapendo ya kweli na hataki kuleta aibu, anakuwa na uvumilivu hatimaye ndoa inanusurika. Ila these days sisi hatuna mapendo ya ukweli.tunasema kunya anakunya kuku,akinya bata kahaarisha, wabinafsi.akikutenda haikupi shida kumtema.No wonder these days hatushuhudii wanaume wakitwangana kisa mwanamke,sio kwamba wamestaarabika,ila hana sababu ya kupigana.mtu anakumegea sweetiee unayempenda kweli halafu hurushi ngumi hata moja kweli? au tumezidi uoga?
Si kweli kaka kwa hiyo unataka kusema confidence level ya men ni ndogo kuliko ya women?
Sasa vinafananaje na topic yetu?