Na kweli@Kukamido, wengi wanapigwa chenga kwa jinsi tatizo lilivyo kubwa!Mkuu hisia zangu zinaniambia kua watu hawafanyi makusudi,nimegundua ni moja ya matatizo mengi kwenye uandishi watu wanashindwa kujua herufi ipi ikae wapi.kiswahili chetu wenyewe na kinatupiga chenga,