Nini chanzo cha kuku broiler kupinda shingo?

cyono-Ti

New Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
4
Reaction score
1
Habar ndugu zangu,

Naomba kuuliza kuhusu kumsaidia kuku ambaye shingo yake inapinda either upande wa kushoto au kulia na chanzo ni nini?
 
Habar ndugu zangu,

Naomba kuuliza kuhusu kumsaidia kuku ambaye shingo yake inapinda either upande wa kushoto au kulia na chanzo ni nini?
Inatemea na uwekaji wa vyombo vya kulia chakula na kunywea maji ulivyoviweka.
Kwani kadri kuku wanavyokuwa unatakiwa uvipandisha vyombo juu ili wanywe na kula kwa kujinyosha.
Japo Mimi sio mtaalam ila niliwahi kufuga na nampango wa kuanzisha tena ufugaji
 
Habar ndugu zangu,

Naomba kuuliza kuhusu kumsaidia kuku ambaye shingo yake inapinda either upande wa kushoto au kulia na chanzo ni nini?
Mataka taka yenu/kuku wa kisasa au chotara inafaa sana kupigwa marufuku, maana yamesababisha vijana kuwa na matatizo mengi ya hormones imbalance kama;

√ Me kuota matiti
√ Me kuongea sauti ya 3 badala ya besi
√ Me kuwa na sura za vibabu ilihali hata miaka 30 hawajafika
√ Me kutumia vumbi la DRC na Viagra badala ya urijali halisi/nguvu za ki-jinsi

• Sehemu za siri za Ke kulegea kwa kutanuka sana mirija ya uzazi
• Ke kuwa za baridi sana
• Ke kuwa na maji mengi/mabwawa
• Ke kuota ndevu kwenye videvu
• Ke kuzaa kwa shida hadi kutumia operation ya uzazi
• Ke kukosa hisia za kujamiiana kwa Me
• Ke kuwa na shepu za ajabu kama no 9 badala ya no 8 kwa minyama uzembe ya tumboni.
 
Ok nashukuru sana
 
Ufahamu wako Juu ya causes za hormonal imbalance ni mdogo Sana unajua walau kwa 1% tu
 
Habar ndugu zangu,

Naomba kuuliza kuhusu kumsaidia kuku ambaye shingo yake inapinda either upande wa kushoto au kulia na chanzo ni nini?
Unazingatia virutubisho vya calcium kwenye chakula?
 
Mkuu umeota maziwa??? Naona "me kuota maziwa" .....

Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…