C chief mtwe Member Joined Dec 10, 2013 Posts 95 Reaction score 11 Dec 26, 2013 #1 Wana JF naombeni mnitoe kwenye Giza .... Nini kinasababisha korodani kusinyaa?
Lady.A JF-Expert Member Joined Dec 13, 2013 Posts 393 Reaction score 194 Dec 27, 2013 #2 uko sehemu gani? kama kuna baridi kama nchi za nje, huwa ni sababu pia.
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Dec 27, 2013 #3 zinafanya adaptation kutokana na mahitaji yake,mfano kwenye joto mfuko wa pumbu(skrotam) husinya na kuzifanya kende ziwe mbali na joto la mwili ili zifanye kazi yake vizuri,kunyume chake hutokea wakati wa baridi ambapo mfuko wa pumbu hukontrakti
zinafanya adaptation kutokana na mahitaji yake,mfano kwenye joto mfuko wa pumbu(skrotam) husinya na kuzifanya kende ziwe mbali na joto la mwili ili zifanye kazi yake vizuri,kunyume chake hutokea wakati wa baridi ambapo mfuko wa pumbu hukontrakti
C chief mtwe Member Joined Dec 10, 2013 Posts 95 Reaction score 11 Dec 27, 2013 Thread starter #4 I mean inasinyaa kabisa , ile goroli linapungua size inakuwa ndogo mithili ya punje ya harage
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 20,834 Reaction score 26,217 Dec 27, 2013 #5 chief mtwe said: I mean inasinyaa kabisa , ile goroli linapungua size inakuwa ndogo mithili ya punje ya harage Click to expand... unataka liwe kubwa kama busha? Ni PM
chief mtwe said: I mean inasinyaa kabisa , ile goroli linapungua size inakuwa ndogo mithili ya punje ya harage Click to expand... unataka liwe kubwa kama busha? Ni PM
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,315 Dec 29, 2013 #7 Pengine joto kali au unavaa boksa au chupi inayobana sana
mayenga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2009 Posts 4,118 Reaction score 1,970 Dec 30, 2013 #8 Check hernia Mkuu