Nini chanzo cha mikono kutetemeka na nini tiba yake?

Nini chanzo cha mikono kutetemeka na nini tiba yake?

Ragna

Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
50
Reaction score
16
Habari wadau nataka kujua sababu ya mikono kutetemeka na kama kuna tiba yoyote ile?
 
Kama upo under.35 kachek figo na ini kama vipo sawa..na kama mtumiaji wa pombe,punguza kipimo
 
Ndio natumia pombe lakini si kwa kiasi kikubwa hadi nihisi ndio chanzo
Ndio maan nimekwambia kacheck ini na figo kwanza..ukiwa vizuri pombe punguza saana,najua kuacha huwezi ila jitahid kula Mara kwa Mara unapokunywa kunywa..fanya mazoezi push up na jogging saana..nilikuwa na tatizo kama hilo na nipo under.30
 
We saiv umepona
 
Hiyo ni laana ya Mijusi wewe ulikua unaua mijusi ukiwa na tabia hiyo lazima mbeleni yakufike
 
Chanzo ni xavi iniesta messi

Muulize mzee Ferguson[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari wadau nataka kujua sababu ya mikono kutetemeka na kama kuna tiba yoyote ile?
Kuna kitu yaitwa
STEM CELL THERAPY
kwa bidhaa kama
. DOUBLE STEM CELL OR CRYSTAL CELL
+SNOWPHYLL

unapona kabisaaaaa Google alafu tupigie +255767831345
 
Wengine wanaihusisha na Parkinson's disease
Pia inaweza kuwa figo au ulevi pia
Ni vitu vingi vina sababisha mikono kutetemeka.

Kamuone Dr
 
Back
Top Bottom