Kwenye umri apo hapana manUmri ushakutupa mzee!
Kuna uwezekano wa kutibikaKama upo under.35 kachek figo na ini kama vipo sawa..na kama mtumiaji wa pombe,punguza kipimo
Sijajua tatizo nn kwako..kwani unatumia alcoholKuna uwezekano wa kutibika
Ndio natumia pombe lakini si kwa kiasi kikubwa hadi nihisi ndio chanzoSijajua tatizo nn kwako..kwani unatumia alcohol
Ndio maan nimekwambia kacheck ini na figo kwanza..ukiwa vizuri pombe punguza saana,najua kuacha huwezi ila jitahid kula Mara kwa Mara unapokunywa kunywa..fanya mazoezi push up na jogging saana..nilikuwa na tatizo kama hilo na nipo under.30Ndio natumia pombe lakini si kwa kiasi kikubwa hadi nihisi ndio chanzo
We saiv umeponaNdio maan nimekwambia kacheck ini na figo kwanza..ukiwa vizuri pombe punguza saana,najua kuacha huwezi ila jitahid kula Mara kwa Mara unapokunywa kunywa..fanya mazoezi push up na jogging saana..nilikuwa na tatizo kama hilo na nipo under.30
Mijusi tena mimi sijawai ua mijusiHiyo ni laana ya Mijusi wewe ulikua unaua mijusi ukiwa na tabia hiyo lazima mbeleni yakufike
Hapana nahis ramos ndio chanzo cha yoteChanzo ni xavi iniesta messi
Muulize mzee Ferguson[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chanzo ni xavi iniesta messi
Muulize mzee Ferguson[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna kitu yaitwaHabari wadau nataka kujua sababu ya mikono kutetemeka na kama kuna tiba yoyote ile?