Umiza kweli,
mfano; msiombe mvua ikanyesha ni tv tu itabaki salama vingine vyote vitalowa,
sehem za kukaa mchukua pesa ndio ana kiti chenye unafuu wenyine waliobaki watakaa kwenye benchi, tofali, chini, kreti
mda wa mchana mchanganyiken joto kali mjin, Jasho+harufu=kero ila kwasabab ndio uswaz unazoea tu
Huwa hakina comfortability.Kibanda-umiza ni neno la kiswahili lenye maana ya maeneo ambayo watu hukusanyika na kulipia huduma ya kuangalia michezo mbalimbali kama mpira wa miguu kwa njia ya televisheni. Naomba kujua kwanini wataalamu wa lugha wakaamua kuvipachika hivi vibanda kwa jina la vibanda-umiza. Nani anaeumia hapo?