Habari,
Ni kwanini watoto wanazaliwa na kichwa kikubwa kupata kiasi (wanaita kichwa kukaa maji) na mdomo wazi hawa wanakuwa wamepasuka kuanzia puani hadi mdomini hawawezi kufunga mdomo jamani, pia ugonjwa wa mgongo wazi Jana ndo nimeona StarTV wameachia kiasi kati katikati pale kwenye mkia,tusaidieni dada zenu.
Tule nini tufanye nini tusiwazalie wajomba wako hivi.
Tafadhali tiririkeni