incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Ohooo kumbe?Hakuna kitu kinaitwa Chango, mrejeshe hospitali huyo mama wakaangalie kinachomsumbua
Mrudishe Sehemu aliyojifungulia, achana na misemo ya mitaani..wakuu nilitaka kujua sababu ya Tumbo la uzazi au Chango la uzazi chanzo chake nini na nini Tiba yake kwa mama aliejifungua? Kuna jirani yangu hapa kajifungua jana ila analia sana tumbo hadi namuonea huruma.
serious? na kwa wanawake ambao hawajaolewa au kuzaa wanasumbuliwa na haya matumbo yanaitwa chango au ni majina ya kiswahiliHakuna kitu kinaitwa Chango, mrejeshe hospitali huyo mama wakaangalie kinachomsumbua
Kinachoitwa Chango ni lugha ya mtaani ikimaanisha maumivu yoyote ya tumbo, hata maumivu ya hedhi huku Tandika Mwembeyanga yanaitwa ChangoOhooo kumbe?
Ni lugha za mitaani, hicho siyo kiswahili wala si kiingerezaserious? na kwa wanawake ambao hawajaolewa au kuzaa wanasumbuliwa na haya matumbo yanaitwa chango au ni majina ya kiswahili
Lipo ila Suluhu ni hospital....jst get her pointserious? na kwa wanawake ambao hawajaolewa au kuzaa wanasumbuliwa na haya matumbo yanaitwa chango au ni majina ya kiswahili
kuna dada hospital wanamwambia suluhisho ni kuzaaLipo ila Suluhu ni hospital....jst get her point
ooh itakuwa kizaramo basi wametuchanganyia tuNi lugha za mitaani, hicho siyo kiswahili wala si kiingereza
Yeah,Kuna watu wakishazas hawasumbuki tenakuna dada hospital wanamwambia suluhisho ni kuzaa
sasa mtu kama hajaolewa na hana mchumba ukimwambia hiyo ndio solution unataka afanye nini akajioleshe au abebe mimba?Yeah,Kuna watu wakishazas hawasumbuki tena
Mbona wanauliza kitu umekileta wewe!?ππ€sasa mtu kama hajaolewa na hana mchumba ukimwambia hiyo ndio solution unataka afanye nini akajioleshe au abebe mimba?
nimekileta tena?Mbona wanauliza kitu umekileta wewe!?ππ€