Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tuache masihara ndugu zangu, Waafrika wengi ni maakini na wengine ni mafukara.
Achana na media ambazo zimejaa picha za vijana wa Kiafrika wanaopiga picha kwenye malls kubwa na maofisini.
Ukirudi nyuma kutazama uhalisia utagundua kuwa Afrika imegubikwa na ufukara mkuu.
Malazi duni, mavazi duni, vyakula vya shiida, usafiri bado ni changamoto.
Nini sababu kamili ya hili janga la umaskini na ufukara Afrika?
Samahani hapa chini nimeweka picha ya mtoto kabeba kinu cha kutwangia nafaka.
Picha hii inaleta tafsiri nyingi sana.