Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Kwenu wataalam mm nina tatizo sugu ambalo linanisumbua huwa nawashwa mwilini,nikijikuna vinatoka vipele vingi vinawasha sana baadae vinapotea yani napata shida sana,niwahi kupima aleji nikaambiwa nisitumie mazao ya maharini lkn bado