Mjasiria Akili JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 823 Reaction score 372 Mar 11, 2013 #1 Kwenu wataalam mm nina tatizo sugu ambalo linanisumbua huwa nawashwa mwilini,nikijikuna vinatoka vipele vingi vinawasha sana baadae vinapotea yani napata shida sana,niwahi kupima aleji nikaambiwa nisitumie mazao ya maharini lkn bado
Kwenu wataalam mm nina tatizo sugu ambalo linanisumbua huwa nawashwa mwilini,nikijikuna vinatoka vipele vingi vinawasha sana baadae vinapotea yani napata shida sana,niwahi kupima aleji nikaambiwa nisitumie mazao ya maharini lkn bado