Nini chanzo na pia dawa ya korodani kuvimba na kuuma kwa muda mrefu

de98

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
737
Reaction score
759
Naomba kufahamu kwa yeyote anaejua. Nimejaribu ku-Google lakini sijapata ufumbuzi wa hili gonjwa, maana huwa napata changamoto kuujua kiundani huu ugonjwa huwa naufananisha na mshipa wa ngiri.

Natanguliza shukrani
 
Najua inakutokea ukiwaza sana ngono wakati hauna wakutolea nyege zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…