Nini chanzo na tiba kwa mwanamke mwenye hamu ya tendo ila hasikii ladha ya tendo?

Nini chanzo na tiba kwa mwanamke mwenye hamu ya tendo ila hasikii ladha ya tendo?

Mwadada84

Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
59
Reaction score
22
Mke wangu anaumri wa miaka 25, ana mtoto wa miaka 5 na amekuwa akichoma sindano za uzazi wa mpango.

Kwa sasa ana mwaka hajachoma tena, amekuwa na tatizo la kukosa kusikia radha ya tendo la ndoa licha ya kuwa na hamu kufanya tendo la ndoa.

Naomba msaada wa ushauri/tiba
 
Jaman tusimkatishe ndugu yetu tamaa kwa kumpa maneno makali, kaka nakushauri kamuone daktari kwan haya madawa ya uzazi wampango yasipo endana na homon zamtumiaji huwa yana madhara.
 
Kwa kitaalamu hiyo Hali inaitwa SEXUAL FRIGITY kama ilivyo kwa wanaume yaani Male impotence.

Frigidity in the past referred to a sexual dysfunction among females in the same way that the term impotence referred to the same broad phenomenon among males.
Many clinicians now regard frigidity to be a sexist term that places the blame on the woman herself rather than on her sociocultural milieu, emotional experiences, or health status, all of which can contribute to sexual nonresponsiveness.
Female sexual dysfunction - which has replaced frigidity as a diagnostic category in psychiatry and psychology - refers to the inability of a woman to function adequately in terms of sexual desire, sexual arousal, orgasm, or in coital situations.

4LIFE RESEARCH LLC TUNAYO PRODUCT AMBAYO NI MAHUSUSI KWA WANAWAKE WENYE MATATIZO HAYO. PRODUCT HIYO inaitwa RITE START WOMEN 4LIFE RITE START | Afya4life.
HIZI NDIO FAIDA ZA HII PRODUCT
• Supports the immune system with the power of 4Life? Transfer Factor Plus? Tri-Factor? Formula
• Provides specific female system support
• Promotes healthy bones
• Supports healthy skin
• Provides a powerful blend of antioxidants
• Supports the cardiovascular and circulatory systems
• Includes support for healthy hormonal balance
• Provides vision and eye health support
KAMA UNASUMBULIWA NA TATIZO HILO TUWASILIANE KWA 0659-649891,OFFICE TUPO MWENGE DSM
 
Back
Top Bottom